Semina Ya Ukwepaji Haramu Wa Mitaji Iliyofanyika Mwanza

Policy Forum imetoa tangazo juu ya Sekta ya nishati na madini Tanzania ambalo kwa sasa linarushwa hewani katika vituo viwili vya Televisheni ambavyo ni ITV na Star TV. Lengo la tangazo ni kuwafanya raia wa kawaida wa Tanzania kuuliza viongozi wao juu ya rasilimali ya madini yao ambayo inapaswa kutumiwa kwa manufaa ya watanzania na si vinginevyo. Ona tangazo chini
Mwaka 2010, viongozi wa
Sisi, Kamati ya Viongozi wa Dini kwa Masuala ya Kijamii, Uchumi, Haki na Uhifadhi wa Mazingira na Maumbile na wanachama wa Policy Forum, tuliokutana katika Mkutano Mbadala wa masuala ya Madini mjini Arusha tarehe 20 Oktoba 2011, tumejadili kwa kina madhara yatokanayo na shughuli za uchimbaji wa madini katika jamii zionazoishi karibu na migodi ya madini na kwa mazingira, na tunaiomba serikali na Bunge kuhakikisha kuwa zinatekeleza kwa dhati majukumu
Policy Forum kwa kushirikiana na Tanzania Development Research Group (TADREG), imechapisha mapitio ya utawala wa Tanzania wa pili ambao unachunguza nyaraka za serikali rasmi, takwimu, taarifa kutoka mashirika ya misaada, machapisho kutoka taasisi za elimu, mashirika ya kiraia na makala kutoka vyombo vya habari kwa madhumuni ya taarifa juu ya mwenendo wa utawala katika Tanzania.
Mwezi uliopita Policy Forum ilikutana na wabunge mjini Dodoma kuhamasisha kuanzishwa kwa Ofisi ya Bunge ya Bajeti (PBO) huru isiyo ya msaidizi wa taasisi ambayo itasaidia kuimarisha usimamizi wa bunge katika mchakato wa bajeti.
Mchakato wa kuhalalisha mahusiano baina ya Serikali, wahisani, wafadhili na Asasi zizo za kiserikali AZAKI umekuwa na changamoto nyingi. Kumekew na juhudi nyingi ambazo zimekuwa zikitoa tumaini kwa AZAKI kwamba mahusiano rasmi na wadau wengine wa maendeleo ni jambo ambalo linawezekana kuwa rasmi na endelevu.