Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

 

 

Policy Forum, kwa kushirikiana na JUKWAA la KATIBA imetoa chapisho la Mwongozo wa Katiba kwa Raia ambao utasaidia katika mchakato wa kuandaa katiba mpya ya raia.Vitabu hivyo vipo kwa lugha ya Kiswahili na vinapatikana katika ofisi ya sekretariati ya Policy Forum na pia katika tovuti hii http://www.policyforum-tz.org/files/MwongozowaKatibakwaRaia.pdf .kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia simu au barua pepe (022 2772611; info@policyforum.or.tz)

Zifuatazo hapo chini ni picha za uzinduzi wa Mwongozo wa katiba kwa raia uliokuwa tarehe 19th Agosti 2011,Dar es Salaam.