Skip to main content

Mkutano wa ufuatiliaji matumizi ya fedha za umma Afrika Mashariki

Imechapishwa na Policy Forum

Katika miaka kumi iliyopita, asasi za kiraia katika nchi zaidi ya 60 duniani zimeanzisha mikakati ya kuchunguza jinsi serikali zao zinavyotumia pesa za umma. Harakati hizi zimefikia kuangalia kila hatua katika ya mchakato wa bajeti: mipango, utengaji wa mafungu, matumizi na matokeo ya matumizi. 

wiki ya sera ya umaskini

Imechapishwa na Policy Forum

Start: 19/11/2007 - 8:00am
End: 22/11/2007 - 4:00pm
Wizara ya Mipango, Uchumi na Uwezeshaji ikishirikiana na wadau mbalimbali wa kupambana na umaskini iliadhimisha 'Wiki ya Kuondoa Umaskini' ambapo mbali na mambo mengineyo, washiriki walielezwa sera mbalimbali za kupambana na umaskini.
 

Jukwaa issue 2

Imechapishwa na Policy Forum

Jukwaa Issue 2 focuses on the energy crisis gripping Tanzania. kuisoma bofya hapa

Jukwaa issue 1

Imechapishwa na Policy Forum

The first issue of Jukwaa focuses on the subject of Constituency Development Funds

Welcome to the new Policy Forum website!

Imechapishwa na Policy Forum

We hope you will find this site as a valuable resource tool which features recent news and extensive information about our activities and our network. We will be adding new content regularly so be sure to visit the site often.

East Africa PETS Conference

Imechapishwa na Policy Forum

Start: 24/10/2007 - 9:00am
End: 26/10/2007 - 5:00pm

Policy Forum, together with the International Budget Project (IBP) of Washington, D.C is organising an EA Public Expenditure Conference to be held at the Impala Hotel in Arusha from October 24-26, 2007.

BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA 2016/2017:TOLEO LA WANANCHI

Imechapishwa na Policy Forum

Toleo la Bajeti ya Wananchi 2016/2017 kama ilivyokuwa kwa matoleo yaliyotangulia1, linakusudia kutoa maelezo rahisi na wazi kuhusu Bajeti ya Serikali ya 2016/17. Kimsingi, Bajeti ya Serikali ni makadirio ya mapato na matumizi yanayoandaliwa na Serikali kwa mwaka. Ni chombo muhimu kinachotumiwa na Serikali kutekeleza maamuzi yake ya sera kwa vitendo kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Utengaji wa Bajeti Isiyotosheleza kwa Sekta ya Afya

Imechapishwa na Policy Forum

Zaidi ya theluthi mbili ya Watanzania wanaishi vijijini na wengi wao wanategemea vituo vya afya vya Serikali kupata huduma za afya ya msingi. Wananchi wanakumbana na changamoto nyingi katika kufikia huduma za afya-kuna mlolongo wa foleni ili kupata huduma katika zahanati au vituo vya afya kutokana na upungufu wa watumishi wa afya. Pia kuna upungufu wa bidhaa muhimu za afya na vifaa tiba. Idadi kubwa ya Watanzania bado wanasafiri umbali mrefu kuweza kufikia kituo cha afya kilicho karibu, na wengi wao ni maskini
hawana uwezo wa kulipia gharama za michango ya ada za huduma ya afya.

Subscribe to Resources