Skip to main content
  • Je, Unajya Kuhusu Mfumo wa Fursa na vikwazo kwa Maendeleo (O&OD) Ulioboreshwa?
    Je, Unajua Kuhusu Mfumo wa Fursa na vikwazo kwa Maendeleo (O&OD) Ulioboreshwa?

    Watanzania wamekuwa na desturi ya kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kuboresha maisha yao. Desturi hii ilikuwepo na ilisimamiwa kwa kiasi kikubwa na Baba wa Taifa  Mwalimu Julius K. Nyerere. Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inaamini kwamba jamii itapata maendeleo makubwa kwa kuitumia na kuiendeleza.