Skip to main content
Rashid Kulewa
Dereva
Contact Info
+255 782 317 434
info@policyforum.or.tz
Education
Astashahada ya Mafunzo ya Kompyuta, Kituo cha Mafunzo (ICL), Dar es Salaam, Tanzania

Rashid Kulewa alijiunga na Policy Forum mnamo mwaka 2010, Alimaliza kozi yake ya astashahada katika masomo ya kompyuta katika Kituo cha Mafunzo cha ICL. Rashid amefanya kazi ya udereva na afisa msaidizi usimamizi wa vifaa na mashirika tofauti kama vile FHI na Axios Foundation.

Rashid's interest is to see that the Tanzanian's benefit from their country's resources