Skip to main content
Prisca Kowa
Afisa Mwandamizi - Ushirikiano wa Kimkakati na Utekelezaji
Contact Info
+255 782 317 434
Education
Shahada ya Uzamili ya Utafiti na Sera za Umma , Chuo Kikuu Dar es Salaam, Tanzania
Shahada ya kwanza ya Sosholojia, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania
Mafunzo ya Msingi ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji Jamii, Chuo Kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini

Prisca Kowa anafanya kazi Policy Forum kama Afisa Mwandamizi - Ushirikiano wa Kimkakati na Utekelezaji. Kabla ya kupata nafasi hiyo alifanya kazi kama Msaidizi wa Programu ya Kuongeza Uwezo na baadaye Afisa Programu Tawala Serikali za Mitaa. Kabla ya kujiunga na PF, Prisca alifanya kazi CARE International na Aga Khan Foundation. Katika mashirika yote mawili alifanya kazi katika miradi ya maendeleo ya jamii. Prisca ana uzoefu mkubwa wa masuala yanayohusiana na serikali za mitaa na jinsi inavyosimamiwa nchini Tanzania. Kitaaluma, ana Shahada ya Uzamili ya Utafiti: Sera za Umma na Shahada ya kwanza ya Sosholojia zote kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Yeye pia ni mhitmu wa Mafunzo ya Msingi ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji Jamii, Chuo Kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini. 

Implementation of policies should improved lives of Tanzanians within their vicinities