Skip to main content
Gibons Mwabukusi
Meneja- Fedha & Utawala
Contact Info
+255 782 317 434
admin@policyforum.or.tz
Education
Stashahada ya Uhasibu, Taasisi ya Uhasibu Tanzania
CPA

Gibons Mwabukusi alijiunga na Policy Forum mwaka 2010 kama Afisa Fedha na Utawala. Kabla ya kujiunga na PF, Gibons alifanya kazi na AZAKI mbalimbali kama Afisa Fedha na Utawala. Ana Stashada ya Uhasibu kutoka Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na pia ana CPA.

Policy Forum at the forefront of governance and accountability advocacy