Skip to main content
Elinami John
Meneja - Uchechemuzi & Ushirikishaji
Contact Info
+255 782 317 434
Education
Shahada ya Uzamili katika Vyombo vya Habari na Mawasiliano, Chuo Kikuu cha Karlstad, Uswidi
Shahada ya Sanaa katika Mahusiano ya Umma na Matangazo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania
Mafunzo ya Msingi ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji Jamii, Chuo Kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini

Elinami John alijiunga na Policy Forum mnamo Septemba, 2016. Hapo awali alifanya kazi kama afisa programu anayesimamia upatikanaji wa taarifa na uhuru wa vyombo vya habari katika Baraza la Habari Tanzania (MCT). Alimaliza shahada yake ya kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania. Ana shahada ya Uzamili katika Vyombo vya Habari na Mawasiliano kutoka Chuo Kikuu cha Karlstad, Uswidi. Anapenda zaidi kuchunguza mienendo ya utandawazi wa vyombo vya habari na mawasiliano na athari zake kwa jamii. 

I desire to see a state which efficiently and effectively allocates and manages its resources based on the needs and priorities of the citizens