Skip to main content
Amani Ndoyella
Msaidizi wa Ofisi na Utawala
Contact Info
+255 782 317 434
info@policyforum.or.tz
Education
Astashahada ya Usimamizi, Bodi ya Kitaifa ya Usimamizi wa Vifaa (NBMM), Dar es Salaam, Tanzania

Amani Ndoyella alijiunga na Policy Forum mnamo mwaka 2004 baada ya kumaliza mafunzo ya Astashahada ya Usimamizi wa Vifaa (NBMM). Amani ni kati ya waajiriwa wa kwanza kabisa wa Policy Forum na kwa sasa ndiye mwajiriwa aliyedumu kwa muda mrefu Policy Forum. Amani anasimamia masuala yote ya ofisi, vifaa, taarifa za ofisi, orodha na habari za wanachama wa mtandao.

Tanzania's resources should be used effectively in order to make people's life better