Skip to main content

Tanzania Forest Conservation Group (TFCG)

Imechapishwa na Policy Forum

Tanzania Forest Conservation Group  (TFCG) ilianzishwa mnamo 1985. Kwa zaidi ya uzoefu wa miaka 20, sisi ndio shirika kubwa zaidi lisilo la kiserikali la Tanzania linalozingatia uhifadhi wa misitu ya asili.

Kwa miaka mingi, timu yetu imegundua kuwa njia bora zaidi ya kufikia dhamira yetu ni kupitia kujengea wadau uwezo, uchechemuzi na utafiti.

Subscribe to Natural forests