Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Tanzania Brighter Future for Community Development Organisation (TABCO) inakusudia kuona jamii ya watanzania kutoka kwenye umasikini na shida na kuanzisha mazingira bora ya kiuchumi kwa jamii.

Kazi zinazofanywa na TABCO:

TABCO imekuwa na jukumu kubwa tangu ilipoanza kusaidia, kuhamasisha, na kuiwezesha jamii kupitia shughuli mbalimbali. TABCO hutoa mafunzo ya majukumu na haki za wanawake katika umiliki wa mali huko Nyamagana na Ilemela, ambapo washiriki wakuu hwa wanawake, wanaume, viongozi wa serikali za mitaa, kata- Baraza, viongozi wa dini na washiriki kutoka vikundi maalum. Lengo kuu ni kutoa maarifa kwa wanajamii juu ya kubadilisha tabia.

-2.4986272820413, 32.909158482806