Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Mfumo wa Uongozi / utawala wa sasa wa Tanzania utafikia mwisho wake katika miezi michache ijayo. Hii inatoa njia kwa mfumo mpya kuchukua hatamu ikitegemewa kuwa na mikakati mipya au iliyoboreshwa kusukuma maendeleo ya kiuchumi. Kwa uelewa kwamba chama chochote kitakachofanikiwa kushika uongozi (baada ya uliopo sasa) kitakuwa tayari na ilani yake sisi Kikundi Kazi cha Bajeti chini ya Policy Forum, tunapenda kutoa wito kwa serikali ijayo kujitoa kwa masuala muhimu yaliyowasilishwa ambayo tunafikiria, kama yakizingatiwa katika utekelezaji kuna uwezekano wa kuona maendeleo dhahiri katika maisha ya watu wa Tanzania.Kusoma zaidi bofya hapa.