Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Nchi yetu iko kwenye mchakato wa kuandika Katiba mpya. Katiba iliyopo iliachwa na wakoloni waingereza ili itumike kwa muda wakati Katiba ya kudumu ikiandaliwa na watanzania wenyewe. Matarajio ya kuweza kuandaa mchakato wa kupata Katiba ya watanzania wenyewe hayajawahi kufanikiwa. Tume mbalimbali za Katiba zilizowahi kuundwa ili kuongoza mchakato wa kupata katiba zilishindwa kuwezesha ushiriki wa kutosha wa wananchi kujiandikia Katiba yao. Tafadhali angalia kitabu hapo chini.