KANUNI ZA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA KIJIJI, WAJUMBE WA HALMASHAURI YA KIJIJI NA MWENYEKITI WA KITONGOJI KATIKA MAMLAKA ZA MIJI ZA MWAKA, 2009 (RASIMU).
Jina: Kanuni hizi ziitwe Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Miji za Mwaka, 2009.
Tarehe ya kuanza kutumika: Kanuni hizi zitatumika katika Vijiji na Vitongoji vyote vilivyomo katika maeneo ya Mamlaka za Miji na zitaanza kutumika tarehe ya kuchapishwa katika Gazeti la Serikali.
Tafsiri: Katika Kanuni hizi isipokuwa pale itakavyotamkwa vinginevyo;
| Attachment | Size |
|---|---|
| 2.29 MB |