Skip to main content
Submitted by Web Master on 14 July 2009

KANUNI ZA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA KIJIJI, WAJUMBE WA HALMASHAURI YA KIJIJI NA MWENYEKITI WA KITONGOJI KATIKA MAMLAKA ZA MIJI ZA MWAKA, 2009 (RASIMU).

Jina: Kanuni hizi ziitwe Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Miji za Mwaka, 2009.

Tarehe ya kuanza kutumika: Kanuni hizi zitatumika katika Vijiji na Vitongoji vyote vilivyomo katika maeneo ya Mamlaka za Miji na zitaanza kutumika tarehe ya kuchapishwa katika Gazeti la Serikali.

Tafsiri: Katika Kanuni hizi isipokuwa pale itakavyotamkwa vinginevyo;

Attachment Size
kanunizauchaguziwaserkalizamitaa.pdf 2.29 MB