Skip to main content

PELUM Tanzania

Imechapishwa na Policy Forum

PELUM ni mtandao wa kikanda wa asasi za kiraia zaidi ya 250 katika nchi 12 za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika zinazofanya kazi katika eneo la usimamizi shirikishi wa matumizi ya ardhi. PELUM inafanya kazi kuboresha maisha ya wakulima wadogo na uendelevu wa jamii za wakulima, kwa kukuza usimamizi wa matumizi ya ardhi.

Subscribe to Morogoro