Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Mudugu women and Community Development ( MUDUGU- WACOD) ni shirika linalofanya kazi ya kukuza / kusaidia shughuli za kuongeza kipato kwa vikundi vya wanawake na vijana. Pia ni shirika linalotoa ushauri wa kisheria (kitengo cha wasaidizi wa kisheria) elimu ya uraia na afya hasa kuhusu VVU/UKIMWI.

-6.910764715309, 39.073932645931