Skip to main content

Shughuli zetu za kawaida:

Breakfast Debates

Kila Ijumaaa ya mwisho wa mwezi, Policy Forum kwa ushirikiano na HakiElimu huwashirikisha watu kwenye mijadala ya sera mbalimbali. Huu ni mjadala usio rasmi unaolenga kuwawezesha wanajamii kwenye masuala muhimu yanayogusa sera za jamii. Mjadala hufanyika UNICEF kwenye ukumbi wa mkutano kutoka saa 1.30-3.30 asubuhi. Watoa mada hutoa mada na washiriki hupata nafasi ya kuchangia mada wakiwa kwenye vikundi kabla mjadala haujafunguliwa rasmi kwa mjadala usio na mipaka kamili. Mada zinazochaguliwa kwa mjadala kwenye Breakfast Debate ni zile zenye (manufaa/ mapendeleo) ya wakati uliopo. Wawasilishaji hutoka Serikalini, taalumani, asasi zisizo za Kiserikali, ajenti za wafadhili/ wahisani, sekta binafsi na mjadala upo wazi kwa watu wote na huhudhuriwa na watu mbalimbali waliovutiwa na wataalam mabingwa. Kupata habari mpya za Breakfast Debate na mada zinazofuata, tafadhali angalia kalenda ya matukio na Novemba Breakfast Debate :

Attachment Size
Summary Report - Sept 2007.pdf 45.8 KB
Summary Report - October 2007.pdf 43.68 KB
New Microsoft Word Document.doc 59.5 KB
Summary report-Novermber 2007.doc 69 KB