Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Mwaka 2010, viongozi wa mashirika yasiyo ya kiserikali walishirikiana na Bunge katika kuboresha sheria yamadini ya Tanzania. Hii filamu fupi ya Revenue Watch International inaonyesha utetezi mkubwa, ushirikiano wake na ushiriki wenye ujuzi ambao viongozi wanaweza kutumia na washirika wa nje kufanya mabadilikoyanayowezekana.