Mwaka 2010, viongozi wa mashirika yasiyo ya kiserikali walishirikiana na Bunge katika kuboresha sheria yamadini ya Tanzania. Hii filamu fupi ya Revenue Watch International inaonyesha utetezi mkubwa, ushirikiano wake na ushiriki wenye ujuzi ambao viongozi wanaweza kutumia na washirika wa nje kufanya mabadilikoyanayowezekana.
Search
Upcoming Events
There is no upcoming events.
If you have any feedback or you would like to obtain policies related materials, please reach us through:
- P.O. BOX 38486, Dar es Salaam
- (+255) 782 317 434
- info@policyforum.or.tz