19/11/2007 - 8:00am
22/11/2007 - 4:00pm
Wizara ya Mipango, Uchumi na Uwezeshaji ikishirikiana na wadau mbalimbali wa kupambana na umaskini iliadhimisha 'Wiki ya Kuondoa Umaskini' ambapo mbali na mambo mengineyo, washiriki walielezwa sera mbalimbali za kupambana na umaskini.
Watoa mada walitoka Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii, ESRF, Taasisi ya Utafiti Kuhusu Umaskini, na REPOA.