Bajeti ya Mwananchi ni bajeti iliyorahisishwa na ambayo imewekwa katika muundo unaomfanya mwananchi wa kawaida aweze kuelewa
mambo muhimu ambayo Serikali imeyapanga katika mwaka wa fedha. Bajeti hii ya mwananchi inalenga kufanya taarifa za kifedha zieleweke kwa urahisi na mwananchi wa kawaida na kuwapa wananchi fursa ya kuelewa mipango ya Serikali na mchakato wa kutekeleza bajeti hiyo. Bajeti inataja kwa ufupi wapi Serikali itapata fedha na jinsi ilivyojipanga kutumia fedha hizo.Tafadhali angalia kiambatanisho hapo chini kwa kusoma zaidi. Bofya hapa
Search
Upcoming Events
There is no upcoming events.
If you have any feedback or you would like to obtain policies related materials, please reach us through:
- P.O. BOX 38486, Dar es Salaam
- (+255) 782 317 434
- info@policyforum.or.tz