Mwongo wa Uanachama wa Policy Forum 2022
Uanachama wa Mtandao wa Policy Forum ni wa hiyari na upo wazi kwa shirikika lolote lisilo la kiserikali lililo sajiliwa Tanzania bara na ambalo malengo yake yanaendana na dira, dhima na malengo ya PF kama yanavyojieleza katika Mpango Mkakati wake.