Skip to main content
Submitted by Web Master on 2 December 2022

Uanachama wa Mtandao wa Policy Forum ni wa hiyari na upo wazi kwa shirikika lolote lisilo la kiserikali lililo sajiliwa Tanzania bara na ambalo malengo yake yanaendana na dira, dhima na malengo ya PF kama yanavyojieleza katika Mpango Mkakati wake.

Attachment Size
Mwongozo wa Uanachama wa PF 2022.pdf (4.32 MB) 4.32 MB