Wanachama wa Policy Forum walikuwa na Baraza lao la Katiba mnamo tarehe 16 Agosti 2013, maoni yaliyotolewa katika baraza hilo yaliwasilishwa na sekretaeti ya Policy Forum 30 Agosti 2013 kwenye ofisi za Tume ya Katiba.
Angalia kiambatanisho hapo chini kuona maoni yaliyowasilishwa