Skip to main content
Submitted by Web Master on 8 November 2012

Mada hii inalenga katika kuchochea mjadala na kutoa taarifa zaidi katika mchakato unaoendelea wa kupata katiba mpya ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Inatoa majumuisho (usanisi) ya mapitio ya katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katiba za baadhi ya nchi zilizochaguliwa ambazo zimezingatia haki za mazingira, uhifadhi na menejimenti yake. Mapitio hayo yanadokeza uingizaji wa vipengele vya haki za mazingira, uhifadhi na manejimenti yake katika itakayokuwa - katiba mpya. Mada hii inatoa mapitio na mapendekezo juu ya nini kifanyike ili kuhakikisha kuwa
mambo ya msingi yameingizwa katika itakayokuwa katiba mpya.Kusoma zaidi tafadhali angalia hapo chini.