
Tunapenda kuwaataarifu wadau na wanachama wetu kwamba ofisi ya Sekretarieti ya Policy Forum itafungwa kwa ajili ya likizo ya Krismasi na Mwaka Mpya kuanzia tarehe 17 Disemba 2021 mpaka tarehe 9 Januari 2022.
Tunawatakia sikukuu njema za mwisho wa mwaka.