Usimamizi wa Bunge uliohuru unahitaji pawepo na uhalisia wa kutenganisha na kuwa na uwiano mzuri wa mamlaka kati ya Bunge na Serikali.Pale ambapo hakuna mipaka na serikali ikiwa na nguvu kubwa kuliko bunge katika utoaji habari na rasilimali, achilia mbali kamati za usimamizi, haiwezekani kwa bunge kuwa na uwezo wa kuwa na makali endelevu dhidi ya serikali . Kwa kuangalia utendaji wa Usimamizi wa Bajeti ya Bunge katika mazingira haya, hoja ya umuhimu wa kuanzisha Ofisi ya Bajeti ya Bunge inaweza kuibuliwa. Endelea Kusoma.
Search
Upcoming Events
There is no upcoming events.
If you have any feedback or you would like to obtain policies related materials, please reach us through:
- P.O. BOX 38486, Dar es Salaam
- (+255) 782 317 434
- info@policyforum.or.tz