Publication Type:
Book
Source:
p.8 (1962)
Abstract:
Binadamu wanapofanya umoja wa aina yoyote huwa wanayo shabaha ya kuunda umoja huo. pengine ni umoja wa kujipatia elimu, au wa kufanya biashara au wa kucheza ngoma au kuimba nyimbo au kwenda kumzika jirani