Mwongozo wa mafunzo juu ya sheria za ardhi na utawala katika muundo wa serikali za mitaa

Publication Type:

Book

Source:

HAKIARDHI (2014)

Abstract:

<p>Mwongozo huu wa mafunzo juu ya haki za ardhi na utawala , umeandaliwa kwa kuzingatia mahitaji ya wananchi mbalimbali katika ardgi na rasilimali nyinginezo. Lengo kuu la mwongozo huu ni kukuza uelewa wa wasomiaji na wakufunzi juu ya masuala muhimu yanayohusu mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi nchini ili waweze kutetea , kulinda na kudai haki zao juu ya rasilimali ardhi kwa ufanisi.</p>

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter