UCHAMBUZI WA UTEKELEZAJI WA MAPATO NA MATUMIZI YA MWAKA 2016/2017 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2017/2018

Kilimo, Mifugo na Uvuvi ni sekta muhimu sana kwa uchumi na maendeleo ya nchi na Watanzania
kiujumla. Sekta hizi zimeendelea kuwa chanzo kikubwa cha kipato kwa zaidi ya asilimia 65 ya
Watanzania na nguzo muhimu katika kuhakikisha usalama wa chakula, na zinachangia pato la taifa
kwa zaidi ya asilimia 29 na kwa mauzo ya nje zinachangia kwa zaidi ya asilimia 24.
Japo sekta hizi ni muhimu ila zinakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zinaathiri ukuaji wake. Soma zadi...

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter