Iman Hatibu alijiunga na Policy Forum mwaka 2017 kama Msaidizi wa Programu: Uchechemuzi na Ushirikishaji. Iman ana elimu ya sheria ambayo alimaliza masomo yake ya shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Tumaini. Aliwahi kufanya kazi na UNA Tanzania (mwanachama wa Policy Forum) katika masuala ya maendeleo kama msimamizi wa programu ya mafunzo. Iman alipata mafunzo kutoka kwa Wakala wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Uswidi (SIDA) huko Härnösand, Uswidi. Amefanya kazi katika sekta ya mawasiliano na uchechemuzi wa maendeleo endelevu, haki za binadamu, utawala bora, demokrasia, amani na usalama. Iman huleta uzoefu mwingi katika kutetea maswala ya haki za binadamu, baada ya kushiriki katika harakati za haki za binadamu tangu umri mdogo.
Iman Khatib
Afisa Programu - Uchechemuzi & Ushirikishaji na JInsia
Contact Info
+255 782 317 434
pa2@policyforum.or.tz
Education
Shahada ya Sheria, Chuo Kikuu cha Tumaini, Tanzania
Mafunzo ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji katika Utumishi wa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini.
We need to understand the complexity of human rights and gender issues and be proactive in forming integral partnerships and relationships to collaborate and work together