Skip to main content
Hellen Massawe
Afisa Programu- Uchambuzi wa Sera
Contact Info
+255 782 317 434
pa1@policyforum.or.tz
Education
Shahada ya Sheria, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Mafunzo ya  Ufuatiliaji wa Uwajibikaji katika Utumishi wa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini.

Hellen Massawe alijiunga na Policy Forum kama Msaidizi wa Programu - Bajeti na Uchambuzi wa Sera. Yeye ni mhitimu katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika Shahada ya Sheria. NI mhitimu wa mazoezi ya kisheria kutoka Shule ya Sheria ya Tanzania. Hellen ana historia nzuri katika masuala ya kisheria ambayo ni muhimu katika masuiala ya sera.

Satisfaction comes from taking part in conceptual developments