<p>Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ni shirika binafsi , huru , la hiari ,lisilokuwa la kiserikali , lisilofungamana na chama chochote cha kisiasa na lisilo la kujitengenezea faida kwa nia ya kugawana linalotaamali jamii yenye haki na usawa .</p>