Rasimu ya Pili ya KATIBA Inasemaje? Chapisho la Lugha Nyepesi

Tanzania ipo katika mchakato wa Katiba tangu mwanzoni mwa mwaka 2011. Hatua kadhaa zimeshapitiwa katika mchakato huu muhimu kwa Taifa letu kama ifuatavyo; Kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya
mwaka 2011, kuundwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa mujibu wa sheria, Tume kuanza kazi kwa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya, Tume kutoa Rasimu ya kwanza ya Katiba na hatimaye Rasimu ya pili
ya Katiba.
Rasimu ya pili ya Katiba ilikabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano mnamo tarehe 30/12/2013 kwa mujibu wa Sheria. Rais alichapisha rasimu hiyo kwenye Gazeti la Serikali na hatimaye kuiwasilisha kwenye Bunge Maalum la Katiba kabla ya wananchi kuipigia kura kupitia Kura ya Maoni. Kusoma zaidi bofya hapa.

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter