Presentation

UZINDUZI WA KIJITABU CHA “MWONGOZO WA UTAWALA BORA”

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na Mtandao wa Policy Forum wameandaa Kijitabu cha elimu kwa umma kinachoitwa “Mwongozo wa Utawala Bora”.  Kijitabu hiki kimeandaliwa kwa lengo la kuongeza uelewa wa wananchi, watendaji na viongozi kuhusu utawala bora, na hivyo kusaidia kukuza utawala bora nchini.

Uzinduzi wa kijitabu hicho utakaofanyika katika Ofisi ya Tume, Jengo la HAKI HOUSE, Mtaa wa Luthuli, Dar es Salaam siku ya Ijumaa tarehe 25/9/2013 kuanzia saa 3:00 asubuhi.

Swahili
Subscribe to RSS - Presentation

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter