Retreat ya Policy Forum - Bodi na wafanyakazi

Categories
Event Date: 
Monday, December 3, 2012 - 07:45 to Friday, December 7, 2012 - 17:45
Tanga
Tanga Beach

Tunaomba kutoa taarifa kwamba ofisi ya Policy Forum itafungwa kwa ajili ya Retreat yetu ya mwaka kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wiki ijayo (Desemba 3 - Desemba 7, 2012).

Ofisi itafunguliwa na kuendelea na shughuli za kawaida siku ya  Jumatatu Desemba 10, 2012.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote.

Kwa wale wenye masuala yoyote muhimu au ya dharura, tunaomba mtume barua pepe (info@policyforum.or.tz) kabla ya kufunga ofisi tarehe 30 Novemba au kupiga Simu: (+255 782 317 434). Masuala yote mengine yatashughulikiwa kuanzia Desemba 10.

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter