Others

KUELEKEA UWAJIBIKAJI ENDELEVU KATIKA USIMAMIZI WA MALIASILI NCHINI TANZANIA

Categoriest

Siku chache zilizopita, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliunda kamati mbili za wataalamu kwa ajili ya kuchunguza taarifa za kuwapo kwa udanganyifu wa kiwango cha madini katika mchanga wa dhahabu (makinikia), ambao umekuwa ukisafirishwa kupelekwa nje ya nchi. Mchanga huo ni ule unaotoka katika migodi ya dhahabu ya Bulyanhulu na Buzwagi ambayo kwa pamoja inamilikiwa na Kampuni ya Acacia.

Pages

Subscribe to RSS - Others

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter