Skip to main content

Mkukuta ni kifupi cha Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania. Huu ni mkakati wa kitaifa wa miaka mitano unaolenga kuchochea ukuaji wa uchumi Tanzania na kupunguza umaskini kwa watanzania hususan wa hali ya nchi.