Skip to main content

Kufuatilia matumizi ni mchakato wa kufuatilia fedha au rasilimali za kifedha za umma kutoka vyanzo vyake zinavyopita ngazi mbalimbali za serikali hadi katika hatua ya matumizi au kutoa huduma