Skip to main content

Demokrasia ni nini? ni jina la kitabu cha kwanza cha MS Tanzania juu ya demokrasia.Makala ya habari ya kitabu yametolewa kwa hisani ya MS Uganda na nisehemu ya mlolongo wa makala za elimu ya demokrasia zenye kichwa cha habari 'Demokrasia kama njia ya maisha'.