Skip to main content

kutokana na mtikisiko wa uchumi katika dunia uchumi wa Tanzania unategemewa kupungua kwa 7.3% katika mwaka 2009( hali hii inajichanganya na kauli za viongozi na wataalamu mbalimbali wa serikali amabao wanasema kuwa hali hii haina madhara /kishindo kwa uchumi wa TZ)