Skip to main content

Ni kawaida kusikia neno 'haki za binadamu' katika vyombo vya habari kila siku. viongozi wananchi na hata wanasiasa na wasomi ndiyo wako mstari wa mbele kabisa kutamka maneno haya.