Skip to main content

Elimu ni mchakato unaomwezesha mtu kupata maarifa na ujuzi wa kujitambua na kujiweka sawa katika kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya mara kwa mara ya kijamii, kisiasa, kiuchumi,kisayansi na kiteknolojia.