Skip to main content

Uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la kwanza umeendelea kuongezeka tangu kuanzishwa kwa MMEM. Mambo mengi yamechangia kuongezeka kwa uandikishaji yakiwemo kufutwa kwa ada pamoja na kuendelea kuhamasishwa kwa jamii juu ya umuhimu wa wanafunzi wote waliofika umri wa kwenda shule kuandikishwa na kutiliwa mkazo kwa elimu ya msingi.