Skip to main content

Katika jitihada za kuboresha elimu hapa nchini Tanzania serikali imebuni mipango na mikakati mbalimbali. Hii ni pamoja na Mpango wa maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) wa mwaka 2002 na Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) wa mwaka 2004.