Skip to main content

Duniani kote ikiwemo Tanzania,inakubalika kwamba elimu ndiyo silaha kubwa na muhimu katika harakati za kupunguza umaskini na kuinua maisha.