Mwongozo juu ya ajira kwa watoto na watoto walioko kizuizini/rumande

Publication Type:

Book

Source:

TAWLA, Dar-es-salaam (2012)

Abstract:

<p>Watoto wanaathiriwa na udhalilishajo/unyayashaji ambao waweza kuwa wa kiuchumi , ubaguzi wa kijinsia , elimu na huduma za afya. Miongozo ya kimataifa inaonyesha viwango mbalimbali vinavyojulikana kama haki za binadamu. Haki hizo zimewekwa viwango vya uhuru ambavyo vinatakiwa kuheshimiwa na serikali wale wote wanaohusika katika kutumiza wajibu.</p>

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter