Maoni ya Mtandao wa Asasi za Kiraia Kuhusu Miswada ya VAT na TAA 2014

Categories

Manufaa ya misamaha ya kodi yanakuzwa kuliko uhalisia wake
  • Athari za misamaha ya kodi hupuuzwa.
  • Upotevu wa Mapato muhimu kwa maendeleo ya nchi
  • Mwanya wa ukwepaji kodi
  • Mgawanyo wa rasilimali usio na tija
  • Huchangia kuweka mazingira magumu ya usimamizi/utawala wa kodi
  • Mazingira ya Usiri na kutokuwajibika

Kusoma wasilisho hili lililofanywa na Bw. Silas Olang kwa niaba ya Kikundi kazi kinachoshawishi masuala ya kodi Tanzania bofya hapa

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter