Localization Category

The Government of the United Republic of Tanzania needs only TZS 150 billion for 5 years to cover the cost of 28 percent of health insurance for low-income Tanzanians, the country’s religious leaders have said at a recent Breakfast Debate organised by Policy Forum in collaboration with the Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCEJIC) on September 27...
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8(1) (a); wananchi ndio chimbuko la mamlaka ya utawala wa nchi na kwamba Serikali itapata mamlaka kutoka kwao. Uchaguzi ndio namna pekee ya wananchi kukasimisha mamlaka yao kwa viongozi. Ni Haki ya kila raia kushiriki katika michakato ya Uchaguzi ikiwemo kupiga au kupigiwa kura kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi ili kupata...
Tanzania Development Vision 2025 and Zanzibar Development Vision 2020 are the main blueprints for the country’s economic transformation towards a middle-income country in 2025 as well as the main vehicles for Agenda 2030 and Sustainable Development Goals (SDGs) implementation in Tanzania. Data from the Tanzania Civil Society Report on the SDGs shows that over the last decade, Tanzania has...
Policy Analyst from the Ministry of Finance and Planning , Mr. Francis Shirima lamented that the pace of SDGs implementation is still slow in Tanzania. This is  because the nation lacks a  coordination framework to ensure that the government works closely with different stakeholders although the framework is on initiation process by the Ministry of Finance and Planning.However, The co-...
Mtandao wa Uangalizi wa Uchaguzi Tanzania (TACCEO) na Jukwaa la Sera (Policy Forum) tumeendelea kufuatilia mchakato wa utayarishaji wa Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,2019 nchini Tanzania kwa kutoa maoni kwenye rasimu ya kanuni husika ambapo maoni na mapendekezo yetu yaliwasilishwa Ofisi ya Rais-TAMISEMI mnamo mwezi Aprili, 2019. Baada ya kuchapishwa na kutangazwa kwa kanuni husika na...
Introduction In February 2009, African Union (AU) leaders adopted the Africa Mining Vision (AMV) as the overarching continental framework to promote mineral resource-based development and structural transformation. The continental vision seeks to foster a transparent, equitable and optimal exploitation of mineral resources to undergird broad-based sustainable growth and structural transformation...
Asasi za Kiraia Wanachama wa TANGO, TUCTA na CCT na sekta ya AZAKI Tanzania inaitaka SADC kuchukua hatua za haraka juu ya Ukatili unaofanywa dhidi ya watu wa mataifa mengine nje ya nchini Afrika Kusini.Kuibuka kwa ukatili wa hivi karibuni nchini Afrika Kusini ni suala la kutia huzuni kubwa kwa nchi hiyo, kanda yote ya SADC na bara la Afrika kwa ujumla. Kwa bahati mbaya mashambulizi haya mapya...

Pages

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter